top of page
Brainstorm Team Meeting

Wezesha Maisha Yako na Miradi ya SOHEECO

Ushauri wa Vitendo kwa Ukuaji, Ustawi, na Maendeleo Endelevu

Ungana Nasi Katika Kukuza Ukuaji

Book Now
Online Consultation.webp

USHAURI WA BINAFSI MTANDAONI VIA CHAT

Huduma ya faragha kwa mtu mmoja mmoja, ambapo unapata ushauri wa kina kuhusu JAMII, AFYA na UCHUMI.​

Mahali: Online

Muda: Kila wiki

Kuanzia Tsh.1,500/- hadi Tsh.10,000/-

Mafunzo ya Mahusiano, Ndoa na Familia.webp

MAFUNZO YA MAHUSIANO, NDOA & FAMILIA

Tunasaidia wanandoa, wapenzi, wachumba & familia katika kujenga uhusiano mzuri, na mawasiliano Bora.

Mahali: Online

Muda: Kila wiki

Kuanzia Tsh.1,500/- hadi Tsh.10,000/-

Recurring Business & Entrepreneurship Class.webp

MAFUNZO ENDELEVU - UJASIRIAMALI & BIASHARA

Mbinu za kuendesha biashara kwa ufanisi, kuweka mipango ya kifedha&kujifunza mikakati bora ya masoko

Mahali: Online

Muda: Kila wiki

Kuanzia Tsh.1,500/- hadi Tsh.10,000/-

Ungana Nasi Katika Kukuza Ukuaji

Class Schedule


Utaalamu wetu

Ushirikiano wa Jamii

Usimamizi wa Fedha

Afya na Ustawi

Kilimo Endelevu

Maendeleo ya Ujasiriamali

Kutana na Miradi ya SOHEECO

Kuwawezesha Watu Binafsi, Jumuiya, Shule, na Taasisi

WASHIRIKA WETU

Ungana Nasi Katika Kukuza Ukuaji

Neolife; Healthier & Happier World

NEOLIFE INTERNATIONAL LLC ni watengenezaji na wasambazaji  wa virutubisho vya afya, ASILIA, mbolea ya asili (Super Gro), na bidhaa bora za usafi zinavyotegemewa duniani kote. Vimethibitishwa kimataifa na kisayansi kuwa virutubisho vinaleta suluhu kwa magonjwa yote yasiyoambukiza.

Mbolea hiyo inaongeza uzalishaji wa mazao mara 2 hadi 3, huokoa gharama za mkulima. Bidhaa zao za usafi huboresha mazingira kwa kiwango cha juu ukilinganisha na bidhaa za usafi za makampuni mengine.

Eternal; Peace, Love, Health & Wealth

ETERNAL INTERNATIONAL CO. LTD ni watengenezaji na wasambazaji wa bidhaa za lishe bora asilia, kinga mwilini, na huduma za kitabibu. Zimethibitishwa kimataifa kuwa zinaleta suluhu kwa magonjwa yote yasiyoambukiza. Wana-kliniki za kupima mfumo mzima wa afya kwa magonjwa yasiyoambukiza, zaidi ya CTC Scan, Utra sound, n.k.

Huduma za upimaji zinafanywa na Daktari wa Kitabibu, Msomi, na kukufafanulia matokeo na kukuandikia virutubisho vya kutumia, pamoja na ushauri wa aina ya vyakula vya kutumia au kuacha, na mtindo wa maisha wa kuacha au kuujenga.

Ungana Nasi Katika Kukuza Ukuaji

"Navutiwa na 'WhatsApp Status' zenu SOHEECO Projects kuhusu mahusiano"


Tunashukuru kuliona hilo, hakika ukikosa kuvutiwa na yahusuyo kada yako, iwe ni Uchumi, Uhasibu, Ujasiriamali, Umeneja, Ujasiriamali, Biashara, Fedha, Menejimenti, Ukaguzi, huwezi kosa la kukugusa hata kwenye Mahusiano, Ndoa, Familia, na Afya


SOHEECO PROJECTS tumejipanga kukuhudumia nyanja tatu kuu za maisha ya mtu - Afya, Mahusiano na Uchumi.


Share na wengine USHUHUDA huu nao wapate kunufaika

Mabamba, Kibondo, Tanzania

26 Mei 2025 saa 08:01:00

"Miradi ya SOHEECO imekuwa chanzo muhimu cha mwongozo na msaada katika safari yangu ya ujasiriamali."

- Sarah Johnson

"Ushauri wa vitendo juu ya usimamizi wa fedha umeathiri vyema ukuaji wa biashara yangu."

- Michael Brown

"Ufahamu wa Miradi ya SOHEECO juu ya kilimo endelevu umesaidia jamii yetu kustawi."

- Emily Parker

TAKWIMU YA WALIOHUDUMIWA

👨‍🏫

 700+ Watu wamefundishwa kupitia mafunzo yetu ya biashara, kilimo, afya, na familia

BLOGU/ MAKALA ZETU ZA KILA WIKI

No posts published in this language yet
Once posts are published, you’ll see them here.
  • Ninawezaje kupata makala au kurasa ambazo zinahitaji usajili ili kuendelea kusoma?
    Ili kupata makala au kurasa ambazo zinahitaji usajili ili kuendelea kusoma baada ya kupokea ujumbe huu, "Want to read more? Subscribe to soheecoprojects.com to keep reading this exclusive post. Subscribe Now", 1) Bofya kwanza hapo, Subscribe Now 2) Itafunguka kurasa yenye VIFURUSHI mbalimbali. Chagua Kifurushi kinachokufaa, ambavyo vinaanzia vya bure hadi vya kulipia, Tsh.1,500 hadi Tsh.10,000/-. Kila kifurushi kina faida zake. Chaguo bora ni la Tsh.2,000/- na bora zaidi ni la Tsh.10,000/- (sio makala zote utaweza kusoma kwa kifurushi cha bure au cha majaribio) 3) Kama hujajisajili kwenye tovuti yetu, fungua akaunti kwa kubofya "Sign up" kwa kutumia email yako na password iliyo rahisi kukumbuka au kwa facebook. Kama tayari, bofya "Login" 4) Utapokea ujumbe huu, "You can’t order this plan at the moment, Please contact us to complete the purchase. Got It" yaani huwezi kuweka oda hii kwa sasa, tafadhali wasiliana nasi kukamilisha manunuzi. Nimewaelewa. Bofya "got it" 5) Fanya malipo kwenda MPESA, HALOPESA, au Benki (NMB); i). MPESA; 0767818542, Jina: FRANCISCO JEREMIA KAGOMA, au ii). HALOPESA; 0621546796, Jina: FRANCISCO JEREMIA KAGOMA au iii). NMB; 53310000657, Jina: FRANCISCO JEREMIA KAGOMA 6) Baada ya kufanya malipo, "screenshot" muamala, na utume kama picha WhatsApp, kwa namba hii: 0766050115. Baada ya hapo malipo yako yatarekodiwa, na huduma au bidhaa uliyolipia itatumwa kwako. 7) Shukrani na karibu tena🤗, Mawasiliano; Tupigie kwa simu au wasiliana nasi kwa WhatsApp pia: 0766050115
  • Nawezaje kununua bidhaa kwenye SOHEECO PROJECTS na kufikia sehemu ya kupokea mzigo?
    Ili kununua bidhaa kutoka SOHEECO PROJECTS na kufikia sehemu ya kupokea mzigo, fuata hatua hizi: 1. Tembelea tovuti yetu na chagua bidhaa unayotaka kununua. 2. Ongeza bidhaa hiyo kwenye gari lako la manunuzi (bofya add to Cart/ Nunua Sasa Hivi). 3. Nenda kwenye ukurasa wa malipo na kamilisha mchakato wa malipo kwa kutumia njia zilizopo, MPESA, HALOPESA au Benki - NMB 4. Baada ya malipo kukamilika, utapokea uthibitisho wa ununuzi wako. 5. Bidhaa zako zitatumwa kwa anwani uliyoitoa wakati wa manunuzi. Fuata maelekezo ya kufuatilia mzigo wako ili kujua hatua za mwisho za kupokea mzigo wako.
  • Nawezaje kutumia Coupon ya kifurushi cha mwaka kwenye SOHEECO PROJECTS hadi kufikia huduma ya kusoma makala kabisa?
    Ili kutumia Coupon ya Kifurushi cha Mwaka kwenye SOHEECO PROJECTS na kufikia huduma ya kusoma makala kabisa zilizo maalumu kwa washiriki wanaonufaika mwaka mzima, fuata hatua hizi: 1. Nenda kwenye ukurasa wa malipo au ununuzi. 2. Chagua huduma unayotaka kununua. 3. Ingiza Coupon code 'TEAMSUBSCRIBERS' kwenye sehemu ya Coupon au Promo code. 4. Thibitisha Coupon code na malipo yako ili kufaidika na punguzo la Usajili wa Mwaka Mzima. 5. Baada ya malipo kukamilika, utapata kuzifikia kikamilifu wa makala zilizo maalumu kwa washiriki wanaonufaika mwaka mzima. Karibu kufurahia huduma ya kipekee ya kusoma makala kwenye SOHEECO PROJECTS!
  • Nawezaje ku-like, ku-comment na ku-share makala baada ya ku-login au kuchagua mpango wa bei ulio rafiki kwangu?
    Baada ya ku-login au kuchagua mpango wa bei ulio rafiki kwako kwenye SOHEECO PROJECTS, unaweza kufuata hatua hizi kwa makala: 1. Fika kwenye makala unayotaka kusoma. 2. Chagua 'Like' kama unapenda makala hiyo. 3. Ili kutoa maoni, chagua 'Comment' na andika maoni yako. 4. Ili kushiriki na marafiki, chagua 'Share' na chagua njia ya kushirikisha kama vile kwenye mitandao ya kijamii au barua pepe. Karibu ufurahie kusoma na kushirikisha makala zetu!

Ungana Nasi Katika Kukuza Ukuaji

Contact

Ungana Nasi Katika Kukuza Ukuaji

SOCIAL, HEALTH & ECONOMIC PROJECTS

SOCIAL, HEALTH & ECONOMIC PROJECTS

SOCIAL, HEALTH & ECONOMIC PROJECTS
JISAJILI SASA HIVI

JISAJILI SASA HIVI

00:18
PART 2- KUANDAA BAJETI BORA KWA SHULE, TAASISI, NA FAMILIA (@soheecoprojects )

PART 2- KUANDAA BAJETI BORA KWA SHULE, TAASISI, NA FAMILIA (@soheecoprojects )

05:28
PART 1: KUANDAA BAJETI BORA KWA TAASISI, SHULE NA FAMILIA

PART 1: KUANDAA BAJETI BORA KWA TAASISI, SHULE NA FAMILIA

05:26
PART 2: MIPANGO YA KIUTENDAJI KWA CHANEL YETU YA SOHEECO PROJECTS

PART 2: MIPANGO YA KIUTENDAJI KWA CHANEL YETU YA SOHEECO PROJECTS

05:11

Ungana Nasi Katika Kukuza Ukuaji

bottom of page