PID, FANGASI, HOMONI ZISIZO SAWA & VIDONDA VYA TUMBO NI NINI HASWA?
🔴 1. PID Sugu (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi ya muda mrefu kwenye viungo vya uzazi vya ndani (mf. mfuko wa uzazi, mirija, ovari). Dalili: Maumivu ya tumbo la chini, maumivu wakati wa tendo la ndoa, uchafu usio wa kawaida ukeni, homa, uchovu.
🔴 2. Fangasi (Yeast Infections / Candidiasis) ni maambukizi ya kuvu (candida albicans) kwenye sehemu za siri au mwilini. Dalili:Kuwashwa, uchafu mweupe kama jibini, harufu mbaya, kuvimba au wekundu sehemu za siri.
🔴3. Homoni Zisizo Sawa (Hormonal Imbalance) ni kukosekana kwa uwiano wa homoni mwilini, hasa kwa wanawake (estrogen, progesterone, insulin, n.k.). Dalili: Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi, chunusi, uchovu, mabadiliko ya hisia, uzito kuongezeka.
🔴 4. Vidonda vya Tumbo (Gastric/Peptic Ulcers) ni vidonda kwenye ukuta wa tumbo au utumbo mdogo kutokana na acid nyingi au maambukizi ya H. pylori. Dalili: Maumivu makali ya tumbo, kiungulia, kichefuchefu, kutapika, kupungua uzito.
📦 PAKETI HII
➡️ Ni suluhisho kamili la PID sugu, fangasi, homoni zisizo sawa & vidonda vya tumbo — bila dawa kali za hospitali.
➡️ INATIBU:
🔸 PID sugu & Fangasi ya mara kwa mara
🔸 Homoni zisizo na uwiano (Hormone Imbalance)
🔸 Vidonda vya tumbo & choo kigumu
🔸 Maumivu ya tumbo la uzazi, hedhi isiyo ya kawaida, harufu ukeni, n.k.
🌿 PAKETI INAJUMUISHA BIDHAA ZIFUATAZO:
1) SPIRULINA; Inasaidia mfumo wa uzazi, homoni & kinga ya mwili, Bei yake :76,000/-
2) NATURAL VITAMIN E; Hurekebisha homoni, husaidia katika hedhi & kubalehe, Bei yake: 76,000/-
3)PROPOLIS; Inaua fangasi, bakteria, husaidia kwenye, Bei yake: 76,000/-
4) ALOE SOFT CAPSULE; ni detox ya mfumo wa mmeng’enyo, fangasi & vidonda vya tumbo, Bei yake: 90,200/-
5) FOLIC ACID; Husaidia uzazi, upya wa seli, homoni & kuta za tumbo, Bei yake: 90,200/-
6) ANTILIPEMIC; Husaidia choo kigumu & kuondoa sumu tumboni, Bei yake: 47,600/-
💰 Jumla ya Package:
Jumla ya kawaida:76,000 + 76,000 + 76,000 + 90,200 + 90,200 + 47,600 = TZS 456,000
🧪 JINSI YA KUTUMIA (DOZI YA SIKU 30):
➡️Asubuhi; Spirulina (2), Natural Vitamin E (1), Aloe Soft (1), Propolis (1), Folic Acid (1)
➡️Jioni; Spirulina (2), Antilipemic (1), Aloe Soft (1), Propolis (1), Folic Acid (1)
📌 Tumia mfululizo kwa siku 30 – dozi kamili ya detox, homoni na uponyaji wa ndani.
🧪 JINSI YA KUTUMIA (DOZI YA SIKU 15):
➡️Asubuhi; Aloe Soft Capsule (1), Propolis (1)
➡️Jioni; Antilipemic (1), Aloe Soft Capsule (1), Propolis (1)
📌 Tumia mfululizo kwa siku 15 – hatua ya haraka ya kuanza detox, kurekebisha mfumo wa kinga na kusaidia mzunguko wa damu.
🗂️ CHAGUA AINA YA DOZI:
🟢 Dozi Kamili (Siku 30); Hii ni dozi ya siku 30 – inajumuisha dawa zote 6 kwa matibabu kamili ya ndani, Jumla ya Bei; 450,000/-
🟡 Nusu Dozi (Siku 15 + Lishe ya Vyakula Asilia); Hii ni dawa 3 muhimu (Propolis, Aloe Soft Capsule, Antilipemic) kwa siku 15 + lishe ya vyakula vya asili, Jumla ya Bei; 225,000/-
📝 MAELEZO YA KILA CHAGUO
🟢 Dozi Kamili (Siku 30):
✅ Dawa 6 zote:Spirulina, Natural Vitamin E, Propolis, Aloe Soft Capsule, Folic Acid, Antilipemic
✅ Matumizi kamili kwa siku 30
✅ Matokeo bora ya homoni, fangasi, PID na vidonda vya tumbo
🟡 Nusu Dozi (Siku 15) + Lishe Asilia):
✅ Dawa 3 zenye nguvu kubwa: Propolis, Aloe Soft Capsule, Antilipemic
✅ Tumia kwa siku 15
✅ Makala kuhusu lishe ya asili kwa siku 15 zinazofuata na zaidi, Bofya hapa kupata makala hiyo
💡 Inafaa kwa bajeti ya kati & kuanzia matibabu kwa haraka
💬 USHUHUDA WA WATEJA:
“Niliteseka na PID na fangasi kila mwezi. Baada ya kutumia hii package, hedhi yangu imetulia, harufu ilipotea, na sina tena maumivu.”— Rehema, Tabora
“Vidonda vya tumbo vilinisumbua sana. Aloe Soft na Antilipemic viliniponya polepole kabisa.”— Dotto, Dar es Salaam
🤔 MASWALI YA MARA KWA MARA (FAQ)
1. Hii dawa ni salama kwa wanawake wote?Ndiyo, ni salama kwa wanawake wote isipokuwa wajawazito au wanaonyonyesha bila ushauri wa daktari.
2. Je, inaweza kusaidia hata kama nimekwenda hospitali mara nyingi?Ndiyo! Ni tiba ya ndani ya mwili, yenye mchanganyiko wa asili unaosaidia pale ambako dawa kali zimeshindwa.
3. Naweza kulipa kwa simu?Ndiyo, tunapokea malipo kwa M-PESA, Mix PESA (TIGOPESA), HALOPESA na Benki.
🛍️ OFA HII NI MUDA MFUPI SANA,
Unaweza kurudi ukakuta imeongezeka, bofya NUNUA SASA HIVI
top of page
TZS 456,000.00 Regular Price
TZS 450,000.00Sale Price
bottom of page