SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO
VIDONDA VYA TUMBO (kwa Kiingereza, peptic ulcers) ni vidonda ambavyo hutokea kwenye kuta za ndani za tumbo au sehemu ya juu ya utumbo mdogo (duodeni). Vidonda hivi husababishwa na mmomonyoko wa kuta za tumbo au duodeni kutokana na tindikali ya tumbo.
SABABU KUU ZA VIDONDA VYA TUMBO ni:
1. Maambukizi ya bakteria ya Helicobacter pylori (H. pylori) - Bakteria hawa wanaweza kudhoofisha ukuta wa tumbo au duodeni na kusababisha vidonda.
2. Matumizi ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu za aina ya NSAIDs kama vile aspirini, ibuprofen, au naproxen. Dawa hizi zinaweza kuharibu safu ya ulinzi ya tumbo.
3. Asidi nyingi katika tumbo, ambayo inaweza kusababishwa na msongo wa mawazo, baadhi ya vyakula, au hali nyingine za kiafya.
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO NI ZIPI?
Dalili za vidonda vya tumbo (peptic ulcers) zinaweza kutofautiana kulingana na ukubwa na mahali vidonda vilipo, lakini dalili kuu na za kawaida ni:
✓ Maumivu ya tumbo, hasa kati ya kifua na kitovu
✓ Kuhisi kichefuchefu au kutapika
✓ Tumbo kujaa au gesi
✓ Kupungua uzito bila sababu
✓ Kutapika damu au choo kuwa cheusi (dalili ya kutokwa na damu ndani ya tumbo)
1. MAUMIVU YA TUMBO: Hii ni dalili kuu. Maumivu huwa makali, yakichoma au kuhisi kama njaa, na hutokea kati ya kifua na kitovu. Maumivu haya mara nyingi huongezeka wakati tumbo likiwa tupu na yanaweza kupungua baada ya kula chakula au kutumia dawa/ Virutubisho vinazopunguza asidi ya tumbo.
2. KICHEFUCHEFU AU KUTAPIKA: Watu wenye vidonda vya tumbo wanaweza kuhisi kichefuchefu, na wakati mwingine kutapika, hasa baada ya kula.
3. TUMBO KUJAA, GESI, NA KIUNGULIA: Vidonda vinaweza kusababisha hisia za tumbo kujaa haraka baada ya kula kidogo, kujaa gesi, au kiungulia.
4. KUPUNGUA UZITO: Kupoteza hamu ya kula au kuepuka chakula kutokana na maumivu kunaweza kusababisha kupungua uzito.
5. KUTAPIKA DAMU AU DAMU KWENYE KINYESI: Hii ni dalili mbaya zaidi na inaweza kuashiria kwamba vidonda vinavuja damu. Damu kwenye matapishi inaweza kuonekana kama nyekundu au nyeusi kama kahawa. Kinyesi kilichochanganyika na damu mara nyingi huwa cheusi kama lami.
6. KUKOSA HAMU YA KULA: Maumivu yanaweza kusababisha kutopenda kula au kuhisi kushiba haraka.
7. MAUMIVU YASIYOISHA USIKU: Maumivu ya tumbo yanaweza kuwa mabaya zaidi wakati wa usiku, hasa ukiwa na tumbo tupu.
Ikiwa una dalili hizi, ni muhimu kumuona daktari kwa uchunguzi.
Tunakushauri kumuona daktari kwa ajili ya vipimo na matibabu. Ukipenda kutumia njia ya asili na ya haraka, tunavyo virutubisho vitakavyosaidia kutibu tatizo lako kuanzia ngazi ya seli na kuondoa sumu itakayotikana na matibabu hayo ikiwa unashuku una vidonda vya tumbo. Hii itakusaidia kuzuia matatizo makubwa zaidi kama kutokwa na damu, utoboaji wa tumbo, au saratani ya tumbo.
FULL PACKAGE YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO
(kama uchumi wako una ruhusu).
Hii inalenga kutibu kwa undani, kuondoa sumu na kujenga upya seli za tumbo.Tutakupatia;
1. Aloe Vera Plus
2. Chelated Zinc
3. Omega 3 Salmon Oil Plus
4. Tre en en
5. Cal Mag Chelated
6. Garlic Allium Complex
MUDA WA KUONA MABADILIKO: Ndani ya siku 5–10 dalili kama kutapika, maumivu ya tumbo, gesi kupungua. Kupona kamili huchukua wiki 4 hadi 8 kulingana na ufuasi wa dozi na hali ya awali ya mgonjwa.
PACKAGE YA KUANZIA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO
(kama uchumi wako hauruhusu).
Hii package ya bei nafuu lakini chenye nguvu ya msingi ya kusaidia tumbo. Tutakupatia
1. Aloe Vera Plus
2. Chelated Zinc
3. Formula IV (Ina Ginseng, Vitamin B, C, na E, Madini ya Zinc, Omega 3 Fatty Acids na ina Antioxidant)
MUDA WA KUONA MABADILIKO: Ndani ya siku 5–7 huanza kuona ahueni ya maumivu, kichefuchefu na kurudi kwa hamu ya kula. Kupona kwa kina huchukua wiki 4 hadi 6.
Kwa dozi yoyote hapo juu, unaweza ONGEZA.
1. Full Motion
2. Multimineral Plus Alfa Alfa
3. Neo - Life shake
4. Vitamin B Complex Sustained Release
Hivyo ni vya kuchangia uimara zaidi wa afya ya mmeng’enyo na ujenzi wa mwili.
USHAURI WA JUMLA
✓ Tumia virutubisho kwa mpangilio wa kila siku na muda sahihi wa chakula.
✓ Usitumie virutubisho kwa tumbo tupu isipokuwa Aloe Vera Plus.
✓ Kunywa maji ya kutosha — angalau glasi 6–8 kwa siku kusaidia mmeng'enyo na usafishaji wa sumu.
Bofya hapo juu ADD TO CART, ili kuanza mchakato wa KUNUNUA. WAHI SASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA PUNGUZO YA BEI.
top of page
TZS 450,000.00 Regular Price
TZS 427,000.00Sale Price
bottom of page