VIRUTUBISHO/ BIDHAA ZA SOHEECO PROJECTS KWA AJILI YA KUTIBU PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
Pelvic Inflammatory Disease (PID) ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke, hasa mirija ya uzazi (fallopian tubes), mfuko wa uzazi (uterus), na ovari. Husababishwa na bakteria, mara nyingi kutokana na magonjwa ya zinaa kama vile Chlamydia na Gonorrhea, lakini pia inaweza kutokana na bakteria wa kawaida wanaoenea kupitia njia ya uzazi.
Hii Package ya Kuanzia Kutibu PID, inayoundwa na virutubisho vyetu pamoja na vya NEOLIFE imeundwa mahsusi kusaidia wanawake wanaokutana na changamoto ya PID sugu, kwa kutoa msaada katika kupambana na maambukizi, kupunguza uvimbe, na kuimarisha afya ya uzazi. Mchanganyiko wa virutubisho vya asili vitasaidia kurejesha usawa wa homoni, kuongeza nguvu za kinga ya mwili, na kupunguza maumivu yanayohusiana na PID.
VIRUTUBISHO Muhimu:
📌TRE-EN-EN GRAIN CONCENTRATES - 120 Capsules: Inasaidia kujenga seli imara na kutoa nishati ya mwili, ikiimarisha mfumo wa uzazi.
💝GARLIC ALLIUM COMPLEX - 60 Tablets: Husaidia kupambana na bakteria na virusi, ikiwa ni pamoja na vichocheo vya PID, na kupunguza uvimbe.
💐ZINC CHELATED - 100 Tablets : Inasaidia kuongeza nguvu za kinga ya mwili na kupambana na maambukizi.
🥰FEMININE HERBAL COMPLEX - 60 Tablets: Husaidia kurekebisha usawa wa homoni na kuboresha afya ya uzazi.
🙏VITAMIN E 200 I.E - 60 Capsules: Inasaidia kupunguza maumivu, kuboresha kinga ya mwili, na kudumisha afya ya ngozi na mfumo wa uzazi.
🤗CRUCIFEROUS VEGETABLE COMPLEX au Cruciferous Plus - 60 Tablets: Husaidia kupambana na sumu mwilini, kuimarisha kinga, na kuboresha afya ya homoni.
😍CARE DISINFECTANT - 1 L: Tuongelee hasa bidhaa hii. Care ni bidhaa bora ya usafi kwa ajili ya kuua bacteria, fangas, vimelea na infections zote kwa asilimia 99.9 ndani ya dakika 5 tu. Bacteria na fangasi wanaoathiri ngozi, na kusababisha magonjwa kama: mba, upele, utangotango, chunusi, miwasho, mapunye na hata vidonda ndugu, vidonda vya saratani na vidonda vya kuungua na moto.
Inakata harufu mbaya hata ya kikwapa!
Kwa kuzingatia kuwa kutokuwa na usafi unaoridhisha na kutumia sabuni za kawaida sehemu nyeti ambazo zinatengenezwa na mafuta na kemikali huko ni moja ya sababu ya infection mbali mbali na hata cancer ya shingo ya kizazi!
Care pia inatumika kwa kunawia sehemu za siri hasa wanawake wanaosumbuliwa na miwasho(fangasi) sehemu za siri, PID pamoja na U.T.I sugu. Inatumika kunawia mikono, na kuogea.
Ina matumizi mengi sana kama kusafisha vidonda, kusterilize vifaa vya saluni hospital ( mix 1:10), kusafisha matunda kuondoa sumu za mbolea na madawa ya wakulima, n.k
Kwa kua haina madhara yoyote wateja wetu hasa akina dada na mama wameitumia sana kujisafishia mwilini kuogea hata kusafisha sehemu za siri
wamepata matokeo mazuri sana.
CARE DISINFECTANT imethibitisha kuondoa miwasho, vipele hasa maeneo nyeti na kuua aina zote za fangas hata wadudu wa UTI, pia kuacha harufu nzuri, kuua vimelea vya hata magonjwa ya zinaa (STDs) na PID.
Pia Unashauriwa hata nguo za ndani zilowekwe mara kwa mara kwenye maji yenye care na wanaotumia VYOO VYA KUCHANGIA barabarani, mashuleni, makazini, nyumba za kupanga n.k. tembea na care yako mwagia chooni kabla ya kutumia. NI ZAIDI YA SANITIZER.
Hii ni bidhaa nzuri sana kwa matumizi ya nyumbani, hospitalini, makazini, kwenye mikusanyiko, mashuleni, n.k.
JINSI YA KUTUMIA VIRUTUBISHO HIVI NA BIDHAA ZETU:
Tumia kama ilivyoelekezwa kwenye maelekezo ya bidhaa au hapa chini ili kupata matokeo bora na kwa wakati.
1. TRE-EN-EN: Vidonge viwili (2) kwa siku, asubuhi na jioni.
2. GARLIC ALLIUM COMPLEX: Vidonge viwili (2) kwa siku, asubuhi na jioni.
3. ZINC CHELATED: Vidonge kimoja (1) kwa siku, asubuhi.
4. FEMININE HERBAL COMPLEX: Vidonge viwili (2) kwa siku, asubuhi na jioni.
5. VITAMIN E: Vidonge viwili (2) kwa siku, asubuhi na jioni.
6. CRUCIFEROUS VEGETABLE COMPLEX: Vidonge viwili (2) kwa siku, asubuhi na jioni.
7. CARE DISINFECTANT: INAPATIKANA KWA UJAZO WA LITA 1 AMBAYO WAWEZA KUTENGENEZA HADI LITA 20 - 50 UKI-MIX NA MAJI.
Angalizo; Usitumie concetrated ni kali mno nakwambia. Changanyaji kile kifuniko chake ni mls 5 weka katika lita 5 za maji tumia kwa matumiz kama ni kuogea, kutoa fungus n.k kama tumevuoanisha hapo juu.
💝INAOKOA GHARAMA SANA NA KULINDA AFYA ZETU. HIVYO CARE DISINFECTANT imekuwa mkombozi kwa watumiaji hasa kwa usafi wa maeneo nyeti!
WAKATI WA KUANZA KUONA MATOKEO:
👉Siku 7-10: Wateja wengi huanza kuona mabadiliko kama vile kupungua kwa maumivu na uchovu, pamoja na kuboreka kwa afya ya ngozi.
👉Siku 21-30: Matokeo ya kudumu kama vile kupungua kwa maumivu ya nyonga, kurekebisha kwa hedhi, na kudhibiti maambukizi yanaweza kuonekana.
👉Siku 60: Kwa matumizi ya muda mrefu, mgonjwa anaweza kuona mabadiliko makubwa kama vile kurejeshwa kwa uwezo wa kushika mimba na afya bora ya uzazi.
FAIDA ZA MATUMIZI YA MCHANGANYIKO HUU:
Virutubisho na bidhaa hizi vinasaidia kupambana na maambukizi, kupunguza uvimbe, kuimarisha kinga ya mwili, na kurejesha usawa wa homoni, yote haya ni muhimu katika kutibu PID na kudumisha afya bora ya uzazi.
WAHI SASA, Nunua Sasa katika kipindi hiki cha Ofa au punguzo la Bei ya package hii.
top of page
TZS 220,000.00 Regular Price
TZS 210,000.00Sale Price
bottom of page