Katika mazingira ya sasa ya elimu nchini Tanzania, shule binafsi zinakua kwa kasi na kuchukua nafasi muhimu katika kukuza maarifa, maadili na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, changamoto kubwa inajitokeza katika muundo wa kiuongozi, mgawanyo wa majukumu, na utekelezaji wa sheria zinazotawala sekta ya elimu.
Sheria kama vile Sheria ya Elimu ya 1978, Kanuni za Elimu za 2002, pamoja na Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya 2004, zinaweka misingi ya jinsi shule zinavyopaswa kuendeshwa. Lakini kwa bahati mbaya, shule nyingi, hasa zile binafsi, zimekuwa zikiendeshwa kwa mazoea, hisia, au maamuzi ya mtu mmoja mmoja bila mwongozo wa kisheria au kiutawala.
ebook_Boresha Afya, Uchumi na Mahusiano Yako –Vol.1_8-4-2025, inalenga kuleta ufafanuzi wa kitaalamu juu ya nafasi za kiuongozi katika shule – kama vile Meneja Mkuu, Meneja Msaidizi (Assistant Manager), Mkuu wa Shule, na Msarifu (Bursar) – na kueleza kwa kina namna majukumu yao yanavyopaswa kuainishwa, kugawanywa, na kutekelezwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania.
Nunua hii eBook upate kunufaika na maarifa yaliyo ndani yake. Bofya "Nunua Sasa Hivi" ☝️☝️hapo juu kulipia sasa hivi.
Mara baada ya kulipia kwa kuchagua njia ya malipo iliyo rafiki kwako kati ya hizo tajwa hapo juu, utatumiwa link kwenye "email yako" kama inavyoonekana hapo JUU PICHANI, uweze ku-download E-Book hiyo.
Karibu sana 🙏🙏🙏
top of page
TZS 10,000.00 Regular Price
TZS 6,500.00Sale Price
bottom of page