MABADILIKO 50 YA MSINGI KATIKA IPSAS 2025: MWONGOZO MPYA KWA SHULE, TAASISI ZA DINI NA SEKTA YA UMMA
- Digital Creator at SOHEECO Pro

- Sep 8, 2025
- 10 min read
Kila taasisi ya umma – iwe shule, hospitali, halmashauri, au taasisi ya kidini – inategemea uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa fedha. Hata hivyo, viwango vya kimataifa vya uhasibu wa sekta ya umma (IPSAS) hubadilika mara kwa mara ili kuakisi changamoto na mahitaji mapya ya ulimwengu. Toleo la 2025 la IPSAS Handbook limeleta mabadiliko makubwa 50 ikilinganishwa na toleo la 2020. Mabadiliko haya yanagusa maeneo muhimu kama uwasilishaji wa taarifa za kifedha, mapato, matumizi, mali, madeni, na hata ripoti za uendelevu (sustainability reporting).

Makala hii inakupa muhtasari wa mabadiliko hayo, ikikusaidia kuelewa athari zake kwa uhasibu na usimamizi wa taasisi zako, ili usibaki nyuma katika uwajibikaji na usimamizi bora.
Bofya hapa kupakua makala hii katika PDF : MAKTABA YETU - DOWNLOAD NOW
MABADILIKO YA MSINGI
Mabadiliko yamegawanyika katika makundi yafuatayo kwa urahisi wa wasomaji:
Want to read more?
Subscribe to soheecoprojects.com to keep reading this exclusive post.







