FOMU YA USAJILI WA MALI ZA KUDUMU (FAR) KWA SHULE NA TAASISI: MWONGOZO KAMILI KWA MUJIBU WA IPSASS
- Digital Creator at SOHEECO Pro

- Apr 28, 2025
- 10 min read
Updated: Sep 8, 2025
Katika usimamizi bora wa fedha za shule au taasisi yoyote, kuwa na Fomu ya Usajili wa Mali za Kudumu (Fixed Asset Register - FAR) ni jambo la lazima. FAR ni hati muhimu inayotunza taarifa zote za mali za kudumu ikiwemo majengo, samani, vifaa vya ofisi, magari ya shule, na vinginevyo. Katika makala hii, tutachambua kwa kina umuhimu wa FAR, jinsi ya kuitengeneza kulingana na viwango vya IPSAS, jinsi ya kuijaza kwenye QuickBooks, na nafasi yake muhimu kwa wakaguzi wa fedha (Auditors).

UMUHIMU WA FOMU YA USAJILI WA MALI ZA KUDUMU (FAR)
Kudhibiti Mali: Inasaidia shule au taasisi kutambua, kuthibitisha, na kudhibiti mali zilizopo.
Want to read more?
Subscribe to soheecoprojects.com to keep reading this exclusive post.







