top of page

JE, TANKI LA MAJI NI MALI YA KUDUMU (PPE)? JIFUNZE NAMNA YA KULITAMBUA KWA USAHIHI KWA MUJIBU WA IPSAS 17 NA KATIKA QUICKBOOKS

Updated: Sep 8, 2025

Shule ya Sekondari ya Dormi ina matanki 5 ya maji yenye ukubwa na thamani tofauti. Matanki hayo yametumika kwa miaka 6 iliyopita. Shule inapanga kununua tanki lingine la maji lenye thamani ya Tsh. 1,200,000/- pamoja na gharama za ziada za Tsh. 2,000,000/- kwa ajili ya ujenzi wa msingi wake. Je, kwa mujibu wa viwango vya IPSASs, tanki hili litahesabiwa kama Mali zisizohamishika, Vifaa, Mitambo, au gharama za kawaida za uendeshaji?

Water tank, ACAMABECA Enterprise, +255 766 050 115, soheecoprojects.com
Tanki kubwa la maji la rangi ya bluu lililowekwa kwenye msingi wa saruji ndani ya mazingira ya shule, na mabomba yanayoonekana kwa mfumo wa maji.

JIBU NA UFAFANUZI WA KULISHUGHULIKIA KIUHASIBU KWA MUJIBU WA IPSASs


Kulingana na International Public Sector Accounting Standards (IPSASs), utambuzi wa mali kama Mali zisizohamishika, Mitambo na Vifaa (Property, Plant & Equipment - PPE) au kama gharama za uendeshaji unategemea vigezo maalum vilivyowekwa chini ya IPSAS 17 – Property, Plant, and Equipment kadiri ya IPSAS Handbook toleo la 2024 kurudi nyuma hadi 2020.

                        Want to read more?

                        Subscribe to soheecoprojects.com to keep reading this exclusive post.

                        bottom of page