top of page

USHUHUDA NA MAONI KUTOKA KWA WATEJA WETU 

SOHEECO PROJECTS imekuwa ikikuhudumia kupitia huduma na bidhaa zinazogusa maisha halisi ya watu. Tunawashukuru wateja wetu waliotoa maoni yao na hata ushududa wao ili tuendelee kuboresha huduma zetu na kuzitoa zaidi! 

 

Kwa kifupi baadhi ya huduma na bidhaa bora zaidi tulizokuletea, hizi zifuatazo:

🏥 HUDUMA BORA ZA AFYA:

1.Lishe Bora & Kinga ya Mwili
> Ushauri wa kitaalamu kuhusu mlo sahihi na kuongeza kinga ya mwili kwa njia ya asili.

2. Udhibiti wa Magonjwa (mf. Kisukari, Vidonda, Mawe kwenye Figo)
> Kwa kutumia virutubisho salama na asilia na mtindo bora wa maisha.

3. Afya ya Wanawake (Homoni & Hedhi)
> Suluhisho la matatizo ya kiafya yanayowakumba wanawake kwa njia rafiki na salama.

❤️ HUDUMA BORA ZA MAHUSIANO:

4. Ushauri wa Ndoa na Mahusiano ya Kimapenzi
> Kujenga uaminifu, mawasiliano mazuri na mapenzi ya kweli.

5. Usuluhishi wa Migogoro
> Kutatua changamoto za mahusiano kwa njia ya amani na kuelewana.

6. Single Life Coaching
> Kujitambua, kujiamini na kujiandaa kwa ajili ya mahusiano ya baadaye.

💰 HUDUMA BORA ZA UCHUMI:

7. Mafunzo ya Ujasiriamali
> Hatua kwa hatua kutoka wazo hadi biashara inayokua.

8.Elimu ya Bajeti na Fedha Binafsi
> Kuweka akiba, kupunguza madeni na kutumia fedha kwa busara.

9. Ushauri wa Kifedha Mtandaoni
> Huduma popote ulipo kwa njia ya mtandao.

🛍 BIDHAA ZETU BORA:

10. Virutubisho vya Asili kwa Afya Njema
> Kwa ujenzi wa mwili, usafishaji wa sumu na kuboresha kinga.

11. E-Books za Maisha Bora
> Vitabu vya kidijitali kuhusu afya, mahusiano na uchumi/ ujasiriamali.

Sasa, soma ushuhuda huu/ maoni haya kutoka kwa wateja wetu waliopata matokeo kwa kutumia bidhaa na huduma zetu.

"Asante nimeona na kujua thaman ya mapela, sasa ntakuwa mpenzi wayo"


Tunakushukuru kuifurahia huduma yetu ya MAKALA ZA BLOG, na hongera sana kwa kuwa mmoja wa wanufaika. Ili kunufaika na makala hizi, tunawaarika wengine KUJISAJILI SASA HIVI, maana si makala zote utazipata bila kujisajili. Wanaonufaika zaidi ni wale waliojisajili. Bofya Hapa kujisajili na chagua kifurushi kinachoendana na Uchumi na mahitaji yako.

Unknown

Mgeni wa Tovuti Yetu

Tanzania

Kutoka:

24 April 2025 at 16:05:00

bottom of page