top of page
🛍️ CHAGUA KIFURUSHI KINACHOKUFAA
Tunaamini kila mtu anastahili fursa ya kujifunza, kujiimarisha na kufikia ndoto zake. Hivyo tumeandaa vifurushi mbalimbali kulingana na uwezo na mahitaji yako. Chagua sasa hapo chini, na kamilisha malipo.
📅 Kifurushi cha Mwaka
10,000TZSJifunze, Jiimarisha, Jipatie Zaidi kwa Kipindi cha Mwaka Mzima!Valid for 12 months- ✅ Kusoma Makala zote za blog bila kikomo
- ✅ Ushiriki wa moja kwa moja na wanachama (members)
- ✅ Upatikanaji wa machapisho & ebooks yote kwenye maktaba
- ✅ Chat/mazungumzo&wataalamu wetu:hadi saa 1.5 mara nyingi
- ✅ Unakuwa wa kwanza kupata taarifa mara kunapotumwa makala
- 🎁 Bonus:
- > Unaweza kuongezewa hadi miezi 3 zaidi ya huduma
- >Unapewa punguzo mbalimbali za kununua bidhaa kwenye E-Store
📚 Kifurushi cha Miezi 3
3,000TZSMiezi Mitatu ya Kuimarisha Maarifa na Uwezo Wako!Valid for 3 months- ✅ Kusoma makala zote za blog
- ✅ Kushiriki kikamilifu na members (SOHEECO community)
- ✅ Kuona, kufungua & kupakua baadhi ya machapisho/ebooks
- ✅ Mazungumzo&wataalamu–mara 6 -kipindi cha miezi 3 (1.5hr/aw
- ✅ Unakuwa wa kwanza kupata taarifa mara kunapotumwa makala
- ⏳ Ukomo wa huduma – hulipia kila baada ya miezi 3
- Chaguo Bora
📆 Kifurushi cha Mwezi
2,000TZSFurahia Elimu, Ushauri & Maarifa Kwa Mwezi Mzima!Valid for one month- ✅ Kusoma Makala zote za blog
- ✅ Kushiriki kikamilifu na members (wanachama/ community)
- ✅ Kuona, kufungua na kupakua baadhi ya machapisho & ebooks
- ✅ Chat/mazungumzo & wataalamu – mara 4 kwa mwezi (1hr/awamu)
- ✅ Unakuwa wa kwanza kupata taarifa mara kunapotumwa makala
- ⏳ Ukomo wa huduma – hulipia kila mwezi
📅 Kifurushi cha Wiki
1,500TZSJaribu Uhuru Kamili Kwa Bei Nafuu ya Wiki Moja!Valid for one week- ✅ Kusoma makala zote za blog
- ✅ Kushiriki na wanachama (SOHEECO community)
- ✅ Kuona, kufungua na kupakua baadhi ya ebooks & machapisho
- ✅ Chat/mazungumzo&wataalamu wetu mara 2 kwa wiki (1hr/awamu)
- ✅ Unakuwa wa kwanza kupata taarifa mara kunapotumwa makala
- ⏳ Ukomo wa matumizi – hulipia kila wiki
🎁 Kifurushi cha Majaribio
0TZSAnza Safari Yako ya Maarifa Bila Malipo!Free Plan- ✅ Fursa ya kusoma makala chache mno za blog
- ✅ Ushiriki na members (wana SOHEECO)
- ✅ Utaweza kuona na kupakua baadhi ya machapisho/ebooks
- ✅ Unakuwa wa kwanza kupata taarifa mara kunapotumwa makala
- ❌ Huduma ya kuzungumza na wataalamu ni ya muda mfupi (<30)
- ⛔ Ukomo mkubwa wa huduma na bidhaa
bottom of page