UTAWALA WA MAKAMPUNI NA KANUNI YA UWAKALA: MSINGI WA UWAJIBIKAJI NA UFANISI KATIKA MAKAMPUNI NA TAASISI ZA ELIMU
- Digital Creator at SOHEECO Pro

- Sep 13, 2025
- 6 min read
Updated: Sep 17, 2025
Utawala wa Makampuni au wa Taasisi za Kibishara au wa Taasisi za Kijamii ila zenye sura ya Kampuni (Corporate governance) ni mfumo wa kanuni, taratibu, na sera unaoongoza jinsi kampuni au taasisi inavyosimamiwa na kudhibitiwa. Ni mfumo unaobainisha nani anafanya maamuzi, uwajibikaji uko kwa nani, na jinsi maslahi ya wadau mbalimbali (wanahisa, menejimenti, wafanyakazi, wadhibiti, na jamii) yanavyopimwa na kulindwa.

Bofya hapa kupakua makala hii katika PDF : MAKTABA YETU - DOWNLOAD NOW
Katika taasisi za elimu, tukiunganisha dhana ya Corporate Governance na Agency Principle (Kanuni ya Uwakala), ambayo inahusu uhusiano kati ya principal (mwenye mamlaka/mwenye mali, kama vile mmiliki wa shule au bodi ya wakurugenzi) na agent (wakala anayetenda kwa niaba ya principal au anayefanya maamuzi kwa niaba ya principal, kama vile meneja, mwalimu mkuu, mkuu wa shule au msimamizi), tunapata mfumo unaolenga kuhakikisha usimamizi bora, uwajibikaji, uwazi na ulinzi wa maslahi ya wadau wote katika taasisi ya elimu. Kupitia misingi hii, shule na makampuni hupata uwazi, uwajibikaji, na ufanisi wa kifedha na kitaasisi.
MIFUMO MUHIMU YA UTAWALA WA MAKAMPUNI
1. Bodi ya Wakurugenzi (Board of Directors)
Want to read more?
Subscribe to soheecoprojects.com to keep reading this exclusive post.







