SAFARI NDEFU YA UTAJIRI: KWA NINI BADO SIJAUFIKIA?
- Digital Creator at SOHEECO Pro

- Mar 23, 2025
- 4 min read
Updated: Sep 4, 2025
Katika kila alfajiri, anainuka akiwa na ndoto ile ile—kuondokana na umaskini. Miaka imepita, jitihada zimetumika, jasho limetiririka, lakini safari inaonekana kuwa ndefu kuliko alivyodhani. Amefanikiwa kujihakikishia chakula na mavazi, lakini bado hana pa kwake, bado anapanga, na bado hana biashara yenye mapato endelevu yasiyoyumbishwa na ajira. Anamwamini Mungu, anamuomba, na ana uhusiano wa karibu naye. Bado anajiuliza, "Ee Mungu, kwa nini bado sijaufikia utajiri ninaoutafuta?"Je, ni nini kinakosekana? Je, kuna siri ambayo bado hajagundua? Anajiuliza, Mungu ndiye chanzo cha utajiri, lakini hata Yesu Kristo alipokuwa duniani, hakuwashushia watu pesa kutoka mbinguni. Lakini kama utajiri unatoka kwa Mungu, kwa nini bado wengine wanateseka kifedha licha ya kufanya juhudi kubwa? Nitaondokaje kwenye utegemezi wa ajira na kuwa na biashara inayoleta mapato endelevu?
Want to read more?
Subscribe to soheecoprojects.com to keep reading this exclusive post.







