HUDUMA ZETU KWA BEI NAFUU SANA. FANYA BOOKING SASA HIVI
- Digital Creator at SOHEECO Pro

- Mar 15
- 3 min read
Updated: Sep 4
HUDUMA zetu zinapatikana hapa kwa BEI NAFUU SANA tofauti na sehemu nyingine utakapoweza zipata KWA BEI YA JUU, NA SIO KITAALAMU NA KIUTAFITI kama sisi.
Fanya booking sasa (kwa bure na gharama NAFUU, chagua mpango wa gharama uupendao);👇👇👇
Chagua Kifurushi kinachokufaa (Cha bure, Wiki, Mwezi, Miezi 3 au Mwaka, upate kunufaika na huduma na bidhaa zetu mbalimbali). 👉👉👉 Bofya Hapa
Blogu yetu (kwa bure na gharama NAFUU, chagua mpango wa gharama uupendao);👉👉👉 Bofya Hapa
Bidhaa zetu (kwa Bei ya punguzo, kipindi hiki cha Ofa); 👉👉👉 Bofya Hapa
Kupata machapisho yetu kutoka maktaba yetu mtandaoni (E-Library, kwa gharama nafuu sana, jisajili, na ulipie); 👉👉👉 Bofya Hapa
KWA KUZIANISHA;
1. Ushauri kitaalamu kupitia CHAT box na wataalamu wetu;
>>> Hapa tutakupatia ushauri wa kitaalamu kwa ujumla kuhusu masuala ya kimahusiano, ndoa, familia, afya, uchumi, fedha, uhasibu, utawala/ usimamizi wa biashara, kilimo na ujasiriamali kwa maisha bora na yenye mafanikio kwa muda wa kutosha.
👉👉👉 Fanya booking sasa
;
2. Huduma za KIJAMII za kila wiki;
>>> Zinahusu mahusiano, ndoa, familia, mapenzi, urafiki, malezi, na utatuzi wa migogoro ya kimahusiano. Hapa utapata kuweza ku-download makala zetu, kusoma kwenye blog yetu, na kupata ushauri wa kitaalamu
>>>Pia utapata maarifa kuhusu mila na tamaduni mbalimbali, na kusaidia vijana kupata makuzi binafsi (personal development)
👉👉👉 Fanya booking sasa;
3. Huduma na Mafunzo ya Kuji-brand ONLINE;
>>>Kutakusaidia Kuji-brand kupitia Website ya kibiashara au ya Binafsi (Blog), Facebook Page, Instagram, WhatsApp Business, n.k. Tutakupa pia na fursa ya kutangaza biashara yako kupitia Website yetu. Hii fursa adimu kwa waajiriwa, wajasiriamali, wafanyabiashara, na wanaotafuta kuajiriwa. Hapa pia utapata kuweza ku-download makala zetu zinazohusu kuji-brand, kusoma kwenye blog yetu, na kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu huduma hii.
👉👉👉 Fanya booking sasa;
4. Huduma ya LISHE Bora na KUBORESHA Afya yako;
>>> Tutakupatia ushauri, MAFUNZO, na Makala za kuweza ku-download kuhusu namna ya kutumia vyakula vyenye Lishe ili kuepukana na magonjwa sugu au yasiyoambukizwa kama Kisukari, Pressure, Tezi Dume, Bawasiri, Magoti kuuma, Uvimbe kwenye tumbo la uzazi (mwanamke), Kupata choo kigumu, mimba kuharibika, uchovu usiosha, n.k. Pia tutakupatia Virutubisho/ vijalizo vitakavyoweka Afya yako sawasawa kwa BEI NAFUU SANA.

👉👉👉 Fanya booking sasa;
👉👉👉 Nunua Virutubisho vyetu kwa bei ya punguzo, katika kipindi hiki cha Ofa;
5. Huduma za Kiuchumi
>>> Hapa tutakupatia maarifa kuhusu uchumi, kujua changamoto zako za kiuchumi, unajuaje una uchumi imara au dhaifu na nini ufanye ili kujikwamua kwenye changamoto zako za kiuchumi ili ujenge uchumi imara. Pia tutakupatia makala kuhusu uhasibu, fedha, ujasiriamali, biashara na usimamizi wa taasisi au shule, manunuzi na jinsi zinavyohusika na uchumi wako. Hapa utapata ku-download makala mbalimbali kuhusu huduma hii, kusoma makala kwenye blog kuhusu huduma hii, na kukutana na watu muhimu katika sekta hii ya uchumi na kubadilishana nao mawazo yatakayopanua mawazo yako na uchumi wako.

👉👉👉 Fanya booking sasa;
6. Huduma za Kilimo
>>> Hapa utapata maarifa ya kuhusu mbinu bora za kilimo, tangu kuandaa shamba hadi kuhifadhi mazao yako. Tutakufundisha jinsi ya kuweka hesabu zako vizuri; gharama ulizotumia kulima na baadaye mauzo ya bidhaa zako. Tutakupatia ushauri na makala za ku-download ili uweze kuwa ukifatilia mafunzo yetu offline. Pia utaweza kushiriki programu mbalimbali zinazohusu Kilimo Bora na cha KISASA na kusoma makala zinazofanana na huduma hii kwenye Blogu yetu.


👉👉👉 Fanya booking sasa:
WAHI SASA, NAFASI ZA BOOKING NI CHACHE, NUNUA BIDHAA ZETU KABLA YA HAZIJAISHA MAANA ZINANUNULIWA KWA KASI SASA. TUMIA KIPINDI HIKI CHA PUNGUZO KUFANYA BOOKING NA KUWEKA ODA YA BIDHAA ZETU.
Kukuhudumia wewe ndio FURAHA yetu









Comments