top of page

CHETI CHA UTUMISHI: HAKI YAKO YA MWISHO AMBAYO USIKUBALI KUPORWA

Updated: Sep 4, 2025

Unapomaliza kazi—iwe kwa hiari au kwa mazingira yaliyokulazimisha kuondoka—mara nyingi moyo wako unakuwa mzito. Huenda ulikuwa mfanyakazi mwaminifu kwa miaka mingi, au hata ulikuwa unapambana kimya kimya licha ya changamoto zisizoisha kazini. Lakini unapoondoka, kuna kitu kimoja ambacho hakiangalii ukubwa wa mshahara wala jina la cheo chako — cheti cha utumishi (certificate of service).

      Want to read more?

      Subscribe to soheecoprojects.com to keep reading this exclusive post.

      bottom of page