IFAHAMU SUPER GRO PAMOJA NA MAAJABU YAKE
SUPER GRO;
> NI MBOLEA BORA YENYE UWEZO WA KUPIGA VITA UMASIKINI NA NJAA
> Ni mbolea ya asili isiyokua na kemikali hatarishi. Yenye uwezo wa kurutubisha mmea na ardhi. SUPERGRO ipo imeenea karibu duniani kote na ipo tangu mwaka 1958 INATENGENEZA NA KAMPUNI KUBWA DUNIANI YA KIMARENI
SUPER GRO IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA
MFANO:
👇👇👇👇
1⃣Msimu usiotabirika. Yaani mvua zinaweza kua nyingi au chache, hivyo inapelekea kutokuvuna vzr.
2⃣Mazao hafifu. Wakulima wamekua niwatu wanaotumia nguvu kubwa sana kulima lakini hawapati kinachostahili
3⃣Udongo uloishiwa rutuba. Tumekua tukilima ktk mashamba yaleyale kwa tangu enzi za babu zetu hivyo kupelekea kupoteza rutuba ya asili
4⃣Wadudu na Magonjwa. Hili ninjanga kubwa maana magonjwa yamekua mengi sana ktk mimea na mazao yetu ni kwa sababu rutuba hakuna. (Kumbuka mwenyewe zamani wakati rutuba ipo hali ilikuwa hivi??)
5⃣Gharama kubwa za pembejeo.
6⃣Kutokua na uhakika wa soko. Mkulima ni mtu ambae hana kabisa uhakika na soko lake maana kunawakati mazao yanauzwa kipindi kuna mteremko wabei nakusababisha hasara. lakini pia hana uwezo wa kuuza masoko ya nje kutokana na kemikali nyingi alizotumia
SASA,,, Changamoto zote hizi zinajibiwa na👉Super Gro tu.
TUANGALIE KAZI KUU 3 ZA SUPER GRO NDO UTAONA NI KWELI NI JIBU LA CHANGAMOTO AU LAA
1. Hulainisha maji na kuondoa mzio wa maji. Kwani huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na madini na virutubosho vingi muhim na kuvipandisha juu katika mmeahivyommeaunajitengenezea chakula chake wenyewe..
↘️Kwa Kawaida maji mengi hutiririka juu ya udongo na majani ya mimea bila kupenya ardhini na kiasi kidogo tu hupenya na kuishia tabaka la juu la udongo, Jua likiwaka maji hayo hupotea kama mvuke hewani. Ila ukitumia super gro huweza kupenya na kwenda kujihifadhi chini ili mvua zikikata unyevu nyevu hupanda juu ili mme usiathirike na jua.
2. Kuwezesha mizizi kupenya na kufika mbali zaidi ila kwenda kujichukulia Rutuba ambayo haijafikiwa kabisa na sumu yoyote hivo mmea kuweza kuwa bora sana
3. Kuchochea ufanyaji kazi mzuri wa mbolea na viwatilivu kuweza kufanya kazi vizuri pia kunatisha madawa yasiondolewe na mvua au hewa.. hivyo kujikuta umetumia garama ndogo
SIFA ZA SUPER GRO
✅Huongeza rutuba katika udongo
✅Husaidia maua yasipukutishwe na upepo hivyo huongeza wingi wa mazao
✔Ni kama gundi huwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza kuua wadudu kwa urahisi zaidi
✅Huongeza uwezo wa udongo kutunza unyevunyevu
✅Huyeyusha hali ya mafuta mafuta kwenye majani ya mmea hivyo hutawanyisha maji kwa urahisi
✅Huleta rangi ya kijani katika mmea
✅Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyo lemaaa
✅Husaidia mimea kukua kwenye kimo kimoja
✅Huzuia fungas ( fungus) au ukungu kwenye mimea
✅Haina sumu ni salama kwa binadamu pia na mazingira kwasababu haiathiri udongo
✅Huongeza wingi wa mavuno pia ukubwa wa matunda
✅Huongeza uzito wa mazao yote kwa mfano
Kabichi, ngongo, vitunguu, Karoti, mahindi, viazi, korosho, chai, kahawa, maharage, mahindi, kunde na mazao mengineyo. Maana supergro ni kwa kila zao
MATUMIZI
Mililita moja (cc) ya super gro changanya na maji lita moja au mililita 5 (cc)5 za Super Gro changanya na lita 5 za maji, mililita 100 za super gro changanya na lita 100 za maji.. ikoroge vizuri ichanganyike vizuri
JINSI YA KUTUMIA
Pakua mwongozo huu kutoka kwenye Maktaba yetu, Bofya hapa
top of page
TZS 60,000.00 Regular Price
TZS 50,000.00Sale Price
bottom of page