top of page

PID, FANGASI, HOMONI ZISIZO SAWA & VIDONDA VYA TUMBO NI NINI HASWA?

🔴 1. PID Sugu (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi ya muda mrefu kwenye viungo vya uzazi vya ndani (mf. mfuko wa uzazi, mirija, ovari).

DALILI: Maumivu ya tumbo la chini, maumivu wakati wa tendo la ndoa, uchafu usio wa kawaida ukeni, homa, uchovu.

🔴 2. FANGASI (Yeast Infections / Candidiasis) ni maambukizi ya kuvu (candida albicans) kwenye sehemu za siri au mwilini.

DALILI:Kuwashwa, uchafu mweupe kama jibini, harufu mbaya, kuvimba au wekundu sehemu za siri.

🔴3. HOMONI ZISIZO SAWA (Hormonal Imbalance) ni kukosekana kwa uwiano wa homoni mwilini, hasa kwa wanawake (estrogen, progesterone, insulin, n.k.).

DALILI: Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi, chunusi, uchovu, mabadiliko ya hisia, uzito kuongezeka.

🔴 4. VIDONDA VYA TUMBO (Gastric/Peptic Ulcers) ni vidonda kwenye ukuta wa tumbo au utumbo mdogo kutokana na acid nyingi au maambukizi ya H. pylori.

DALILI: Maumivu makali ya tumbo, kiungulia, kichefuchefu, kutapika, kupungua uzito.

 

📦 PAKETI HII

➡️ Ni suluhisho kamili la PID sugu, fangasi, homoni zisizo sawa & vidonda vya tumbo — bila dawa kali za hospitali.

➡️ INATIBU:

🔸 PID sugu & Fangasi ya mara kwa mara

🔸 Homoni zisizo na uwiano (Hormone Imbalance)

🔸 Vidonda vya tumbo & choo kigumu

🔸 Maumivu ya tumbo la uzazi, hedhi isiyo ya kawaida, harufu ukeni, n.k.

 

🌿 PAKETI INAJUMUISHA BIDHAA ZIFUATAZO:

 

1) SPIRULINA; Imetengenezwa na unga wa Algae usiochanganywa na wanga, Ina madini mengi na muhimu zaidi mwilini. Inayeyuka haraka mwilini (hadi asilimia 95).

KAZI ZAKE: Inasaidia mfumo wa uzazi, homoni, inaongeza kinga ya mwili, kuondoa uchovu na kupunguza KIWANGO cha mafuta katika damu. Husaidia kuondoa taka mwilini na kusafisha mfumo wa chakula kama TUMBO na utumbo; inaongeza hamu ya kula.

BEI YAKE :Tsh.76,000/-

2) NATURAL VITAMIN E; Imetokana na aina mbalimbali ya matunda (machungwa, ndizi, ovokado n.k), mbegu za mimea kama Alizeti na mafuta yake, na mboga za majani zenye kijani kibichi (kama matango, spinachi, n.k),

KAZI ZAKE: Hurekebisha homoni ya projesterone. Inasaidia mimba kutoharibika. Inaondosha sumu zinazozalishwa na seli za MWILI (hivyo ni antioxidant) hivyo kufanya usizeeke haraka (hii ni nzuri kwa wasiopenda uzee). Hung'arisha ngozi. Husaidia katika hedhi & kubalehe.

BEI YAKE:Tsh.76,000/-

3) PROPOLIS; Imetokana na asali ya nyuki wadogo weusi wenye virutubisho zaidi ya 120 vya Flavonoids (kundi la virutubisho asilia vya mimea)

KAZI ZAKE: Inazuia KISUKARI, inaongeza Kinga na kukinga na FANGASI; Inaua fangasi, bakteria. Inasaidia kuyeyusha uvimbe iwe hatua ya awali au uliokomaa katika kibofu cha mkojo, koo, ngozi, mfumo wa uzazi, wa hewa na wa chakula. Inazalisha kinga ya kupambana na magonjwa ya madonda ya TUMBO, ya homa ya ini, ya figo, ya utumbo na kongosho.

BEI YAKE: Tsh.76,000/-

4) ALOE SOFT CAPSULE; Imetokana na Aloe vera ambao una viambata muhimu katika mwili mfano Aloin, aloe polysaccharides, plant protein, vitamin A, Vitamin B6, vitamini B12, amino acids 8 za msingi na madini.

KAZI ZAKE; Inawafaa sana hasa wale wasiotumia mboga za majani mara kwa mara. Inasaidia mfumo wa mmeng’enyo hivyo kuwezesha kupata choo. Huifanya ngozi iwe na mwonekano mzuri na nyororo kwa kuondoa chunusi, vipele, muwasho na ngozi kavu. Inaondoa Sumu mwilini. Inasaidia kupambana na fangasi & vidonda vya tumbo.

BEI YAKE: 90,200/-

5) FOLIC ACID; Imetokana na mimea ya asili yaani Alfafa na Green Algae. Hivyo, imeundwa na Folic Acid, madini ya chuma (Iron) na ya Calcium.

KAZI ZAKE: Husaidia uzazi - wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotarajia kupata ujauzito (kusaidia ukuaji sahihi wa mtoto, kuzuia mimba kuharibika, kuzuia kupata matatizo ya mtoto kuzaliwa akiwa na mgongo wazi au kichwa maji). Husaidia kufanya seli kuwa mpya na kuiimarisha, kuwa na meno na mifupa imara, na kurekebisha msukumo wa damu na mapigo ya moyo kwa sababu ya madini ya Kalsium. Husaidia MWILI kuwa na kinga imara, ini kufanya kazi vizuri, huongeza damu, na kuhifadhi vitamin B mwilini kwa sababu ya madini ya Chuma yaliyomo. Hutuliza kichwa kinachouma muda mrefu, huondoa kizungungu, uchovu usiokwisha. Husaidia wanafunzi kuwa na kumbukumbu hasa kwa wale wenye uwezo mdogo DARASANI, inazuia uwezekano wa kupata maradhi ya moyo (stroke), na kansa.

BEI YAKE:Tsh.90,200/-

6) ANTILIPEMIC TEA; Ni chai yenye ladha nzuri na inayokufanya ujisikie vizuri unapoinywa. Imetokana na mimea ya asili kama Gynostemma, Cassia seed, Lotus leaf, fleece flower root, majanda ya matunda mbalimbali yaliyokaushwa na dawa nyingine za mimea za Kichina.

KAZI ZAKE: Huyeyusha mafuta yaliyozidi mwilini kwa haraka na yaliyo hatari kwa moyo, Ubongo, na mishipa ya damu. Husaidia kwenye kuyeyusha chakula hivyo kutatua tatizo la choo kigumu. Hurekebisha joto la mwili, na kuimarisha viungo kama tumbo, bandama & ini. Huupa mwili uwezo kuondosha sumu zinazozalishwa na seli hai za mwili ziitwazo "free radicals" na sumu zinazotokana na vyakula (food toxins). Ikitumika ipasavyo, huondoa manyama uzembe tumboni kwa kuyeyusha mafuta ya ziada. Husaidia kuifanya ngozi iwe na muonekano mzuri, macho kuona vizuri, nywele kukua vizuri (kuchelewesha nywele kuwa na mvi na kupunguza zisiwe na mvi nyingi). Husaidia meno kuwa imara pia.

BEI YAKE: Tsh.47,600/-

💰 JUMLA YA PACKAGE:

Jumla ya kawaida:76,000 + 76,000 + 76,000 + 90,200 + 90,200 + 47,600 = Tsh. 456,000

 

🧪 JINSI YA KUTUMIA (DOZI YA SIKU 30):

 

Meza virutubisho vyote kwa kutumia maji ya vuguvugu na kunywa Antilipemic Tea mara baada ya kula.

➡️Asubuhi; Spirulina (8), Natural Vitamin E (1), Aloe Soft (2), Propolis (2), Folic Acid (2), Antilipemic Tea (patki 1 kwa kikombe kidogo 1)

➡️Mchana; Spirulina (8),

➡️Jioni; Spirulina (8), Natural vitamin E (1), Aloe Soft (2), Propolis (2), Folic Acid (2), Antilipemic Tea (patki 1 kwa kikombe kidogo 1)

📌 Tumia mfululizo kwa siku 30 – dozi kamili ya detox, homoni na uponyaji wa ndani.

 

🧪 JINSI YA KUTUMIA (DOZI YA SIKU 15):

 

➡️Asubuhi; Aloe Soft Capsule (2), Propolis (2), Antilipemic (1)

➡️Jioni; Antilipemic (1), Aloe Soft Capsule (2), Propolis (1)

📌 Tumia mfululizo kwa siku 15 – hatua ya haraka ya kuanza detox, kurekebisha mfumo wa kinga na kusaidia mzunguko wa damu.

 

🗂️ CHAGUA AINA YA DOZI:

 

🟢 Dozi Kamili (Siku 30); Hii ni dozi ya siku 30 – inajumuisha dawa zote 6 kwa matibabu kamili ya ndani, Jumla ya Bei; 450,000/-

🟡 Nusu Dozi (Siku 15 + Lishe ya Vyakula Asilia); Hii ni dawa 3 muhimu (Propolis, Aloe Soft Capsule, Antilipemic) kwa siku 15 + lishe ya vyakula vya asili, Jumla ya Bei; 225,000/-

📝 MAELEZO YA KILA CHAGUO

🟢 Dozi Kamili (Siku 30):

✅ Dawa 6 zote:Spirulina, Natural Vitamin E, Propolis, Aloe Soft Capsule, Folic Acid, Antilipemic

✅ Matumizi kamili kwa siku 30

✅ Matokeo bora ya homoni, fangasi, PID na vidonda vya tumbo

🟡 Nusu Dozi (Siku 15) + Lishe Asilia):

✅ Dawa 3 zenye nguvu kubwa: Propolis, Aloe Soft Capsule, Antilipemic

✅ Tumia kwa siku 15

✅ Makala kuhusu lishe ya asili kwa siku 15 zinazofuata na zaidi, Bofya hapa kupata makala hiyo

💡 Inafaa kwa bajeti ya kati & kuanzia matibabu kwa haraka

 

💬 USHUHUDA WA WATEJA:

“Niliteseka na PID na fangasi kila mwezi. Baada ya kutumia hii package, hedhi yangu imetulia, harufu ilipotea, na sina tena maumivu.”— Rehema, Tabora

 

“Vidonda vya tumbo vilinisumbua sana. Aloe Soft na Antilipemic viliniponya polepole kabisa.”— Dotto, Dar es Salaam

 

🤔 MASWALI YA MARA KWA MARA (FAQ)

1. Hii dawa ni salama kwa wanawake wote?Ndiyo, ni salama kwa wanawake wote isipokuwa wajawazito au wanaonyonyesha bila ushauri wa daktari.

2. Je, inaweza kusaidia hata kama nimekwenda hospitali mara nyingi?Ndiyo! Ni tiba ya ndani ya mwili, yenye mchanganyiko wa asili unaosaidia pale ambako dawa kali zimeshindwa.

3. Naweza kulipa kwa simu?Ndiyo, tunapokea malipo kwa M-PESA, Mix PESA (TIGOPESA), HALOPESA na Benki.

 

🛍️ OFA HII NI MUDA MFUPI SANA,

Unaweza kurudi ukakuta imeongezeka, bofya NUNUA SASA HIVI

Package ya Kutibu PID, Fangasi, Homoni & Vidonda Vya Tumbo

TZS 456,000.00 Regular Price
TZS 450,000.00Sale Price
Quantity
    No Reviews YetShare your thoughts. Be the first to leave a review.
    bottom of page