KIDNEY STONES ni mashapo magumu ya madini na chumvi yanayojikusanya ndani ya figo. Yanaweza kuwa madogo kama punje ya mchanga au makubwa kama kokwa ya tende.
Kifurushi hiki, cha "Package ya Kuanzia Kutibu Kidney Stones" ni kwa ajili ya watu wenye bajeti ndogo lakini bado wanahitaji msaada wa virutubisho katika kutibu mawe ya figo. Licha ya kuwa ni kifupi, hutoa msaada mkubwa kwa figo kwa kuondoa sumu, kupunguza uvimbe, na kusaidia kuvunjika kwa mawe madogo polepole.
Zinaojumuishwa:
I) ALOE VERA PLUS – Husaidia detoxification na kupunguza inflammation (100–300 ml kwa siku)
FAIDA yake;
✓Husaidia kusafisha njia ya mkojo na kuondoa sumu mwilini
✓Inapunguza uvimbe kwenye figo, ureta na kibofu
✓Huweka pH ya mkojo kuwa ya kawaida, hivyo huzuia kutengenezeka kwa mawe mapya
II) CAL-MAG – Huzuia kutengenezwa kwa mawe ya calcium oxalate (2 vidonge mara 3 kwa siku)
FAIDA yake;
✓Magnesium huzuia mawe ya calcium oxalate
✓Calcium hufunga oxalate tumboni ili isishuke kwenye figo
✓Hupunguza misuli kukaza (spasms) wakati wa maumivu
III) TRE-EN-EN – Kuboresha afya ya seli na kusaidia ufyonzaji wa virutubisho
FAIDA yake;
✓Huboresha afya ya seli
✓Huongeza uwezo wa mwili kufyonza virutubisho
✓Huimarisha kinga na afya ya figo
IV) BETA GUARD – Kulinda ini na kusaidia kutoa sumu
FAIDA yake;
✓Hufanya detox ya figo dhidi ya sumu na kemikali
✓Husaidia afya ya ini na figo kwa ujumla
V) OMEGA-3 (OMEGA-III SALMON OIL PLUS) – Kupunguza uvimbe na kusaidia mzunguko wa damu
FAIDA yake;
✓Hupunguza uvimbe ndani ya figo
✓Inasaidia mzunguko mzuri wa damu
✓Huzuia oxidation ya madini yanayosababisha mawe
MATUMIZI: Kwa miezi 3 au zaidi. Huenda matokeo yakachukua muda mrefu zaidi kulingana na ukubwa wa mawe na hali ya figo.
MANUFAA:
I) Kupunguza maumivu na uvimbe wa figo
II) Mkojo kuwa safi na kupunguza dalili za mawe
III) Uwezekano wa kuzuia mawe mapya kuendelea kutengenezwa
MATOKEO YANAYOTARAJIWA
Matokeo ya awali huanza kuonekana ndani ya wiki 2 hadi mwezi mmoja
Matumizi ya miezi 3 mfululizo yanapendekezwa kwa ufanisi wa kudumu au hadi dalili zitoweke kabisa.
👉MIEZI 3 YA DOZI YA BAJETI NDOGO
✓Mawe huanza kuyeyuka taratibu
✓Mabadiliko ya kupunguza maumivu huanza wiki ya 2–3
✓Hali ya mkojo huimarika, na maumivu hupungua hatua kwa hatua
Inahitajika ufuatiliaji zaidi na kuongeza dozi kulingana na bajeti, ili KUPATA MATOKEO BORA ZAIDI.
USHAURI WA ZIADA
👉 Endelea kutumia virutubisho kwa miezi zaidi kama mawe bado hayajatoka.
👉 Fanya kipimo cha Ultrasound mwezi wa 2 au 3 kuthibitisha maendeleo.
👉 Kunywa maji mengi: angalau lita 2.5 kwa siku.
👉 Epuka vyakula vyenye oxalate: chai kali, mchicha (sababu una matatizo ya figo, ukishapona tumia kiasi kidogo tu), chokoleti.
👉 Virutubisho si dawa, bali husaidia mwili kujitibu kiasili.
WAHI SASA, NUNUA SASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA PUNGUZO. (Bofya Add To Cart hapo juu kuendelea)
top of page
TZS 400,000.00 Regular Price
TZS 390,000.00Sale Price
bottom of page