top of page

KIDNEY STONES ni mashapo magumu ya madini na chumvi yanayojikusanya ndani ya figo. Yanaweza kuwa madogo kama punje ya mchanga au makubwa kama kokwa ya tende.


Kifurushi hiki, cha "Full Package ya Kutibu Kidney Stones" kimeundwa mahsusi kusaidia kutibu na kuondoa kabisa mawe kwenye figo (kidney stones), kwa kutumia virutubisho vya hali ya juu kutoka NeoLife. Mchanganyiko huu husaidia kusafisha figo, kupunguza uvimbe, kurekebisha pH ya mkojo, na kuzuia kutengenezwa kwa mawe mapya.


Zinaojumuishwa:


I) ALOE VERA PLUS – Husaidia detoxification na kupunguza inflammation (100–300 ml kwa siku)

FAIDA yake;

✓Husaidia kusafisha njia ya mkojo na kuondoa sumu mwilini

✓Inapunguza uvimbe kwenye figo, ureta na kibofu

✓Huweka pH ya mkojo kuwa ya kawaida, hivyo huzuia kutengenezeka kwa mawe mapya


II) CAL-MAG – Huzuia kutengenezwa kwa mawe ya calcium oxalate (2 vidonge mara 3 kwa siku)

FAIDA yake;

✓Magnesium huzuia mawe ya calcium oxalate

✓Calcium hufunga oxalate tumboni ili isishuke kwenye figo

✓Hupunguza misuli kukaza (spasms) wakati wa maumivu


III) PROVITALITY PLUS – Hutoa omega-3, antioxidants, Tre-en-en kwa afya ya seli (1–3 sachets kwa siku)

FAIDA yake;

✓Inatoa antioxidants (kama Vitamin E & C) zinazolinda seli za figo dhidi ya uharibifu.

✓Omega-3 husaidia kupunguza uvimbe na kuongeza mzunguko wa damu figoni.

✓Tre-en-en huongeza afya ya seli – figo hutegemea seli zenye nguvu kufanya kazi ya kuchuja damu vizuri.


IV) NEOLIFE SHAKE – Chanzo bora cha protini na amino acids bila mzigo kwa figo (1–2 servings kwa siku)

FAIDA yake;

✓Hutoa protini bora ambayo haibebeshi figo kama protini kutoka nyama nyekundu

✓Husaidia watu waliopoteza uzito kutokana na ugonjwa wa figo au maumivu


MATUMIZI: Kwa miezi 3 mfululizo au hadi figo irejee kwenye hali ya kawaida.


MANUFAA:


I) Kuondoa mawe kwenye figo kwa njia ya asili

II) Kupunguza maumivu ya mgongo na kiunoni

III) Kuongeza afya ya mfumo wa mkojo na kupunguza hatari ya kurudia


MATOKEO YANAYOTARAJIWA

👉MWEZI WA KWANZA (SIKU 1 – 30)


✓ Kupungua kwa maumivu ya mgongo au kiunoni

✓ Mkojo kutobadilika rangi tena

✓ Kukojoa bila maumivu makali


👉MWEZI WA PILI (SIKU 31 – 60)

✓Mawe madogo yanaweza kuyeyuka au kutoka taratibu

✓Kiwango cha uchafu kwenye mkojo kupungua

✓Figo na njia ya mkojo kuimarika


👉 MWEZI WA TATU (SIKU 61 – 90)

✓Afya ya figo kurejea kawaida

✓ Kupunguza uwezekano wa kurudia kwa mawe

✓ Mkojo kuwa safi, mweupe au wa kawaida


USHAURI WA ZIADA


👉 Endelea kutumia virutubisho kwa miezi zaidi kama mawe bado hayajatoka.

👉 Fanya kipimo cha Ultrasound mwezi wa 2 au 3 kuthibitisha maendeleo.

👉 Kunywa maji mengi: angalau lita 2.5 kwa siku.

👉 Epuka vyakula vyenye oxalate: chai kali, mchicha (sababu una matatizo ya figo, ukishapona tumia kiasi kidogo tu), chokoleti.

👉 Virutubisho si dawa, bali husaidia mwili kujitibu kiasili.


WAHI SASA, NUNUA SASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA PUNGUZO. (Bofya Add To Cart hapo juu kuendelea)

Full Package ya Kutibu Kidney Stones

TZS 500,000.00 Regular Price
TZS 485,000.00Sale Price
Quantity
    No Reviews YetShare your thoughts. Be the first to leave a review.
    bottom of page