top of page

❗ JE, UNASUMBULIWA NA MOJAWAPO YA HAYA?

👉🏽Harufu mbaya ya kinywa hata baada ya kupiga mswaki?

👉🏽Meno kujaa rangi za kahawa, chai au sigara?

👉🏽Fizi kuvuja damu unapopiga mswaki?

👉🏽Usaha kwenye fizi?

👉🏽Meno kuwa na rangi ya njano bila kung’aa?

 

Kama jibu ni NDIYO kwa lolote kati ya hayo, usiendelee kuteseka!

Suluhisho ni moja tu:

 

✅ Eternal Toothpaste!

 

💚 Imeundwa kwa Viambato Asilia 100% – Salama kwa Familia Yote yaani watoto na watu wazima

🌿 Aloe Vera – Huondoa bakteria na kuponya fizi

🪵 Mkaa Hai (Activated Charcoal) – Huvuta uchafu na kuondoa rangi ya njano

🌿 Miswak Extract – Asili ya meno safi tangu enzi

🚫 Haina Fluoride wala kemikali zinazodhuru meno

 

✨ FAIDA 17 ZA ETERNAL TOOTHPASTE

 

1️⃣ HUFASISHA MENO VIZURI SANA

Huondoa uchafu, mabaki ya chakula na jino kuonekana jeupe. Husafisha meno na kurudisha weupe wa asili

 

2️⃣ HUTIBU VIDONDA KINYWANI

Kwa sababu ya aloe vera ambayo ni nzuri kwa kutibu vidonda.

 

3️⃣ HUPUNGUZA HARUFU MBAYA NDANI YA SIKU 3

Hua vijidudu vinavyoletea harufu mbaya, inatoa pumzi safi na yenye harufu nzuri kwa muda mrefu.

 

4️⃣ HUIMARISHA AFYA YA FIZI NA KUZUIA KUVUJA DAMU

Hasa kwa watu wenye fizi laini au zinazovimba haraka.

 

5️⃣ HULINDA MENO DHIDI YA KUOZA

Kwa sababu hua vijidudu kinywani na kuongeza uimara na ulinzi wa meno, na hivyo kuzuia meno kutoboka.

 

6️⃣ HUTHIBITI YA ATHARI YA SUKARI

Hasa kwa watu wanaotumia vyakula vyenye sukari nyingi.

 

7️⃣HUPUNGUZA GANZI YA MENO

Fizi inaporutubishwa na kuwa imara na yenye nguvu, huweza kushinda ganzi.

 

8️⃣ HUREKEBISHA pH YA KINYWA

Huzuia kuharibika kwa meno na huweka mazingira bora ya bakteria wazuri.

 

9️⃣ HUTIBU MICHUBUKO KINYWANI

Hasa kwa wale wanaopata vipele au maumivu ya kinywa.

 

🔟 HUIMARISHA AFYA YA KINYWA

Hutumika kama kinga ya kila siku dhidi ya matatizo ya kinywa.

1️⃣1️⃣ HUTIBU FANGASI WA MIGUU

Husaidia kuondoa fangasi wa ngozi miguuni unaosababisha muwasho, harufu mbaya na mba, hivyo miguu hubaki safi na yenye afya.

1️⃣2️⃣ INATIBU KIDONDA CHA MOTO

Hupunguza maumivu na kusaidia jeraha kupona haraka kwa mtu aliyeungua kwa moto mdogo au maji ya moto.

1️⃣3️⃣ INATIBU VIDONDA VYA TUMBO

Hupunguza makali ya asidi tumboni na kusaidia kuimarisha ukuta wa tumbo, hivyo husaidia kupunguza maumivu na madhara ya vidonda vya tumbo.

1️⃣4️⃣ HUSAIDIA FIZI ZISITOE DAMU

Huimarisha afya ya fizi kwa kuzipa nguvu na kuzuia kutokwa na damu wakati wa kupiga mswaki au kula vyakula vigumu.

1️⃣5️⃣ INATIBU FANGASI WA KINYWA

Huondoa fangasi wa kinywa unaosababisha maumivu, mipasuko na ladha mbaya mdomoni, huku ikirudisha usafi na pumzi safi.

1️⃣6️⃣ INATIBU MAPUNYE

Hupunguza muwasho na vidonda vidogo vinavyosababishwa na fangasi wa ngozi (ringworm), na kusaidia ngozi kurudi katika hali yake ya kawaida.

1️⃣7️⃣ INATIBU VIDONDA VYA KANSA NA KISUKARI

Kwa wagonjwa wa kisukari na kansa ambao mara nyingi huchelewa kupona vidonda, dawa hii huchochea upyaji wa ngozi na kuharakisha kupona.

 

JINSI YA KUTUMIA ETERNAL TOOTHPASTE

1. KWENYE MENO NA FIZI

Changanya kiasi kidogo cha toothpaste na mswaki.

Sugua meno na fizi kwa dakika 2–3 mara mbili kwa siku (asubuhi na usiku).

Hii husaidia kuondoa fangasi, kuzuia uvimbe, na kuimarisha afya ya fizi.

2. KWENYE MIGUU YENYE FANGASI

Safisha miguu vizuri na maji safi.

Weka toothpaste kidogo kwenye eneo lenye fangasi.

Sugua au massage kidogo. Fanya mara moja au mbili kwa siku hadi alama zipone.

3. KWENYE VIDONDA VIDOGO, MAPUNYE, AU VIDONDA VYA MOTO

Safisha eneo la jeraha kwa maji safi.

Weka toothpaste kidogo juu ya kidonda.

Funika kwa kidogo cha pamba ikiwa ni lazima.

Rudia mara 1–2 kwa siku hadi kupona kuanze kuonekana.

4. KWENYE VIDONDA VYA KISUKARI AU KANSA

Safisha eneo la kidonda kwa uangalifu bila kusababisha uchungu mwingi.

Weka toothpaste kidogo juu ya kidonda.

Fanya hili mara 1–2 kwa siku, ukifuata ushauri wa daktari pale inapobidi.

5. KWA TUMBO AU VIDONDA VYA TUMBO (KWA NDANI YA KINYWA)

Dawa hii pia hutumika katika TUMBO kama ilivyo kuondoa fangasi na bakteria kinywani, na hivyo kupunguza sumu inayoweza kuathiri tumbo.

Kula chakula chenye afya, kunywa maji ya kutosha, na kutumia toothpaste kama ilivyo kwenye meno na kinywa na kiasi kidogo kwenye maji ya vuguvugu kunywa.

Fanya hili mara 1–2 kwa siku, ukifuata ushauri wa daktari pale inapobidi.

6. KWA PUMZI SAFI NA KUONDOA HARUFU MBAYA YA MDOMO

Sukuma meno, fizi, na ulimi vizuri.

Tumia mara mbili kwa siku au kadri inavyohitajika.

 

❤️ USHUHUDA HALISI KUTOKA KWA WATEJA WETU

 

🗣️ “Harufu ya kinywa ilipotea siku ya pili! Sasa najisikia kuongea na watu bila wasiwasi.” – Asha, Dodoma

🗣️ “Meno yangu yamerudi kuwa meupe bila bleach! Toothpaste hii ni ya kipekee.” – Erick, Arusha

🗣️ “Mume wangu alishangaa kuona meno yangu yang’aa wiki ya pili tu! Harufu ya kinywa ilitoweka kabisa.” – Mama Devotha, Mwanza

🗣️ “Sikuwa naamini hadi nilipojaribu mwenyewe. Sasa naamka asubuhi na kinywa ni fresh kabisa!” – James, Dar es Salaam

 

📌 KWANINI UCHAGUE ETERNAL TOOTHPASTE?

 

✓ Imetengenezwa kwa viwango vya kimataifa

✓Hakuna athari za muda mrefu

✓Inatumiwa na mamia ya Watanzania kila mwezi

✓Matokeo ya haraka – ndani ya siku chache!

 

🛍️ AGIZA SASA KABLA OFA HAIJAISHA, KWANI NI YA MUDA MFUPI!

> Unaweza kurudi ukakuta imeongezeka, bofya NUNUA SASA HIVI au ADD TO CART.

> Tabasamu Safi. Pumzi Safi. Maisha ya Kujiamini.

> Tumia Eternal Toothpaste Leo!

Dawa ya Meno Asilia - Eternal Toothpaste 150 g

TZS 20,000.00Price
Quantity
    No Reviews YetShare your thoughts. Be the first to leave a review.
    bottom of page