IFAHAMU CRUCIFEROUS PLUS NA KAZI AU FAIDA ZAKE;
Cruciferous Plus ni kirutubisho kilichotengenezwa kwa mchanganyiko wa mimea ya cruciferous kama brokoli, kabichi, cauliflower, radish, na kale pamoja na viambato vingine vya asili.
Kirutubisho hiki kinatoa faida nyingi kiafya, ikiwa ni pamoja na:
1. KINGA DHIDI YA SARATANI
Mimea ya cruciferous ina glucosinolates, ambazo mwili hubadilisha kuwa isothiocyanates na indoles, misombo inayosaidia kupunguza hatari ya saratani kama saratani ya matiti, kibofu cha mkojo, na koloni.
2. KUIMARISHA MFUMO WA KINGA
Ina antioxidants na virutubisho vya phytonutrients vinavyosaidia kupambana na madhara ya radicali huru na kuimarisha kinga ya mwili.
3. KULINDA MFUMO WA HOMONI -
Cruciferous Plus husaidia kusawazisha homoni kwa kusaidia kumetaboli estrojeni, hivyo kusaidia afya ya wanawake, hasa katika kupunguza hatari ya saratani inayohusiana na homoni.
Inaweza kusaidia kupunguza dalili za menopause kama hot flushes zihazohusiana na kupungua kwa estrogen wakati wa Menopause.
4. AFYA YA MOYO DHIDI YA CHOLESTEROL MBAYA
Hupunguza kiwango cha cholesterol mbaya (LDL) na kusaidia kudhibiti shinikizo la damu, hivyo kusaidia afya ya moyo na mishipa ya damu.
5. AFYA YA INI NA UTUMBO - KUONDOA SUMU MWILINI
Misombo ya cruciferous husaidia detoxification ya ini, hivyo kusaidia mwili kuondoa sumu kwa ufanisi. Kinasaidia kuzuia sumu kushikamana na sehemu za vipokezi vya homoni mwilini.
Vilevile, hupunguza uvimbe na kusaidia usagaji wa chakula.
6. KUONGEZA KINGA DHIDI YA MAGONJWA YA MSONGE (INFLAMMATORY DISEASES)
Inasaidia kupunguza uvimbe mwilini, hivyo kusaidia katika magonjwa kama arthritis, kisukari, na magonjwa ya moyo.
7. AFYA YA NGOZI NA MWILI KWA UJUMLA
Husaidia kupunguza kuzeeka kwa ngozi na kuifanya iwe na muonekano mzuri na wenye afya.
**************************************
Weka Oda yako Sasa (Bofya Add to Cart/Nunua Sasa Hivi), Bei ZETU ni NAFUU SANA na kwa Bei ya Punguzo. WAHI SASA kabla Ofa hii ya Punguzo haijaisha na kabla BIDHAA hazijaisha.
top of page
TZS 66,000.00 Regular Price
TZS 63,000.00Sale Price
bottom of page