MUDA WA KAZI USIOLIPWA: MWIZI WA SIRI WA MUDA WA ZIADA
- Digital Creator at SOHEECO Pro

- Sep 17, 2025
- 13 min read
Katika ulimwengu wa ajira, wafanyakazi wengi huamini kwamba muda wa kazi unahesabiwa kuanzia saa ya kuingia ofisini hadi saa ya kutoka. Lakini ukweli mchungu ni kwamba, kuna kazi nyingi wanazofanya nje ya ratiba rasmi ambazo hazilipwi. Hili ndilo linaloitwa “off-the-clock work” au kwa Kiswahili tunaweza kuita muda wa kazi usiolipwa.

Bofya hapa kupakua makala hii katika PDF : MAKTABA YETU - DOWNLOAD NOW
Kazi hizi zinaonekana ndogo kwa mtazamo wa haraka, lakini zinapojumlishwa, zinakuwa mwizi wa siri wa muda wa ziada (hidden overtime thief). Mwizi huyu hana sura ya wazi; anajificha katika majukumu ya kila siku ambayo mwajiri anatarajia yafanywe bila swali wala malipo. Matokeo yake ni unyonyaji wa muda wa wafanyakazi, kupotea kwa haki zao, na kuongezeka kwa msongo wa mawazo.
Sandwich, Agents (mawakala) wa mwajiri (wafanyakazi wa ngazi za juu za uongozi) nao wanahusika katika kuiba haki za wafanyakazi. Kisheria; “Mfanyakazi wa ngazi za juu za uongozi (senior managerial employee) ni mfanyakazi ambaye, kulingana na nafasi yake: (i) anatengeneza (au kushiriki kutengeneza) sera kwa niaba ya mwajiri; (ii) ana mamlaka au amepewa mamlaka ya kuajiri au kusitisha ajira ya wafanyakazi wengine; na (iii) ana mamlaka ya kuingia mikataba ya hiari kwa niaba ya mwajiri.” (ELRA, 2004 kif. 9(6) na marekebisho yake kupitia Labour Laws (Amendment) Act No. 4 of 2025, kif. 5)
KWA NINI NI “MWIZI”?
Want to read more?
Subscribe to soheecoprojects.com to keep reading this exclusive post.







