top of page

HEKIMA YA TAI: SIRI YA MUME JASIRI ANAPOKUTANA NA KELELE ZA MKEWE

Updated: Sep 4

Katika maisha ya ndoa, kila mwanandoa anakumbana na changamoto. Lakini mume—mwanaume aliyechagua kuwa kiongozi wa upendo—anakabiliwa na mtihani mkubwa zaidi linapokuja suala la kustahimili maneno, kelele, malalamiko, dharau au hata matusi kutoka kwa mke wake. Katika hali hizi, falsafa ya Tai na Njiwa hutufundisha kuhusu siri ya mume jasiri yaani mwanamume aliye tai au jasiri ana namna ya kukabiliana na vishawishi vya hasira, kulipiza, au kukata tamaa, kwa hekima na utulivu unaogusa moyo wa mpendwa wake.

Want to read more?

Subscribe to soheecoprojects.com to keep reading this exclusive post.

bottom of page