About
Hii ni Programu ya Kuijenga Taasisi Yako Kifedha, Kimkakati, na Kiusimamazi- MAFUNZO YA FEDHA KIMKAKATI KWA TAASISI IMARA (MFKTI) MUHTASARI WA PROGRAMU: 📌 Programu hii ya kipekee inalenga kuwajengea viongozi wa taasisi, wahasibu, wasimamizi wa fedha, na wakurugenzi uwezo wa kupanga, kusimamia, na kufanya maamuzi ya kifedha kwa njia ya kimkakati ili kuhakikisha uimara na uendelevu wa taasisi zao. UNACHOJIFUNZA: 1. Mbinu za kupanga bajeti kwa ufanisi 2. Usimamizi wa rasilimali fedha kulingana na vipaumbele vya taasisi 3. Ufuatiliaji na tathmini ya matumizi ya fedha 4. Uandaaji wa taarifa za kifedha zenye uwazi na zinazozingatia IPSASs/IFRS 5. Mikakati ya kuongeza mapato na kupunguza matumizi bila kuathiri huduma 6. Hatua za kuijenga taasisi imara kifedha na kisera FAIDA KWA WASHIRIKI: ✅ Vyeti vya ushiriki baada ya kukamilisha mafunzo ✅ Mafunzo yanayotumia mifano halisi ya taasisi (schools, NGOs, religious orgs, SMEs) ✅ Ushauri wa bure kwa taasisi zako baada ya mafunzo (kwa muda maalum) ✅ Kuzifikia wa nyenzo za kipekee (PDFs, templates, na video) ✅ Kuweza kusoma makala zetu za Blog USHUHUDA/TESTIMONIALS 🙏 “Programu hii imenisaidia kuboresha mipango ya kifedha ya shule yetu kwa kiwango kikubwa.” – Mhasibu wa Shule ya Sekondari X, Kigoma 👏 “Mbinu tulizojifunza ni rahisi kuzitekeleza na zina matokeo.” – Mkurugenzi wa NGO W Tanzania
You can also join this program via the mobile app. Go to the app



